Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,324
- 17,846
hii taarab nimeisikia kwenye redio tu, baadhi ya maneno huenda yasiwe sahihi, ila maneno yake yamenifikirisha sana. Hivi hapa walikuwa wanamaanisha nini hasa,, KUKU ni nani, na kwa nini anaonekana hana hadhi ya kukirimiwa mgeni japo ndio utamaduni wa sehemu nyingi?
haya tudadavue
1.hujui alacho kuku usingenmpa mgeni
na kujitia shauku kumsifu hadharani
hebu zunguka kwa huku umtizame jaani
kiitikio: Kuku una hadhi gani mgeni kukirimiwa?
2.kama kuku yuna hadhi,
kufichwama hadharani
mbona kichwa hukirthi kukitia mchuzini
umekiweka baaki mlaji kichwa ni nani?
3.niwelewapo mwadingo usojua vya thamani
Kuku atazua mambo kakuona taabani
utakula na utumbo kama si leo mwakani....
CC gfsonwin AshaDii mwallu Gaijin (mwiongozo) Asprin Mentor Madame B snowhite

Last edited by a moderator: