Habari,wadau kuku wangu anaumwa ametaga mayai2 tu leo anaumwa
Kapooza,anaharisha hata mayai yake kwa nje ya gamba kuna damu
Nisaidieni nimpatie dawa gani
Me nnayekwambia ni dawa coz nmeitumia na imeonyesha matokeo mazur kwa kuku wang mpk sasa wanaendelea frxh wamepona,sas ww unayesema sio dawa embu nambie dawa ni ip bhas kwa faida ya mtoa mada