Kuku chotara wanapatikana wapi arusha?

Kuku chotara wanapatikana wapi arusha?

MimiT

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2012
Posts
599
Reaction score
388
Ningependa kufahamu kuku chotara kwa arusha wanapatikana wapi na bei yake ipo vipi.
 
Unahitaji majogoo au wa mayai?wakubwa au vifaranga?tuwasiliane kupitia 0784308970,
Ningependa kufahamu kuku chotara kwa arusha wanapatikana wapi na bei yake ipo vipi.
 
Nahitaji wakubwa. Asante nitakutafuta
 
Back
Top Bottom