Quincy7 survivor1
Member
- Jan 30, 2014
- 18
- 8
Habar zenu..,nawasalimu wote mliopo umu ndani,wakubwa kwa wadogo...nmeamua kujiunga na jf kwa ajil ya kushare ideas na kujfunza pia,,,naomben ushirikiano wenzang!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu sana JF mkuu...........
Karibu JF.
Karibu sana JF...
karibu katika jamii yetu ya watu makini, tueleze tatizo lako na utapata msaada