Serious?😂😂😂Mbona una jina moja tu kama mbwa?
NdioooooooooooooHiyo barakoa umeipiga pasi??
Sent using my radio call over!!
Hiki kiligha gani au ndo uvivu wa kuweka space na kuandika neno zimaUna hansantaiza?
Vyote tuuHiki kiligha gani au ndo uvivu wa kuweka space na kuandika neno zima
Sent using Jamii Forums mobile app
Moshi ya wapi hiyo??Hodi hodiii mpk ndani. Habari za humu wandugu?.
Naitwa olika ni mgeni humu jf naomba ukaribisho na ushirikiano wenu eeh.
Naishi moshi ( nimenawa na maji tiririka na niko na barakoa hapa[emoji1787])
Sent using Jamii Forums mobile app