Kuku mgeni..! Hakosi kamba mguuni..!

King Mutesa

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2012
Posts
227
Reaction score
141
Wanajamii nipokeeni humu kwa mikono miwili kama mgeni..!

Asanteni Sanaa..!
 
Karibu sana mgeni jamvini, subiri nitamtafute Blue G akuletee kinywaji kisha akutambulishe kwa wenyeji.
 
Last edited by a moderator:
Mfalme mutesa karibu sana haya pita kakae pale usome sheria ya kukaa humu, heshimu waliopo na watakaokuja. Karibu sana.
 
Karibu sana mgeni jamvini, subiri nitamtafute Blue G akuletee kinywaji kisha akutambulishe kwa wenyeji.
Nishafika mkuu nitafanya kama ulivyosema.ondoa shaka mgeni ndo kashafika mikono salama hivyo.
 
hello, tunabarikiwa na uwepo wako, amani iwe nawe!
 
karibu sanajf.Eti mgeni unatumia kinywaji ganiii?afu ukishasema ucam zis way nikutambulishe kwa wenyeji nikianza na Katavi,sijui unamjua huyu???????
 
Last edited by a moderator:
karibu sanajf.Eti mgeni unatumia kinywaji ganiii?afu ukishasema ucam zis way nikutambulishe kwa wenyeji nikianza na Katavi,sijui unamjua huyu???????

Simfahamu.!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…