Kuku mgeni hakosi kamba mguuni

mseminari mdogo

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2011
Posts
228
Reaction score
146
Habari wana jamvi.
Nipo nanyi jamvini kuweza shiriki nanyi Kubadilishana mawazo. Hii ni Mara yangu ya kwanza kuwemo humu. Hope tutashirikiana
 
Asanteni wanaodhani ni muhimu watu wengine waingie ili tujuzane ya maana.
Huwezi kusonga mbele kama watu ni wale
mfumo ni ule ule
kufikiri ni kule kule
kutenda ni kule kule
Lakini hata namna ya ya kuwajibisha ni vile vile

Nadhani fikra mpya ni muhimu pia.
 

umenena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…