Kuku mgeni yake kamba

Ni kweli kabisa
Ukiwa mgeni huwezi jibu hivyo
Nilikuwa najifunza nimejua jinsi ya kujibu ndio maana nikajibu hivyo..maana anauliza swali ambalo nisawa na kumuuliza mtu kwanini umezaliwa. Nashukuru kwa kunipokea Comredi utanifunza mitaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli kama mgeni ni kama vile kwenu kuna baiskeli unaiona ila haujui kuendesha siku ukijua kuendesha hautokuwa mgeni nayo sema utajifunza zaidi je humu kuna mitaa mingapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mitaa ipo mingi kama jukwaa chit chat , habari na mchanganyiko , dini , mahusiano mapenzi na urafiki , celebrities ,chef , kazi na ajira , jf doctor , na mengineyo
Karibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT upate kufaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…