Karibu sana Loli.Kwa Waislam "Asalam Alaykum" Wakristu "Praise the Lord" Wapagan mpoooo?? Jamani mie ni mgeni humu ndani, Kwanza mnisamehe, kabla ya kujiunga Jf, nlikuaga nasoma Post zenu bureburee...! Pili naombeni mnikaribishe maana naona nashangaa shangaa tu.
Karibu sana JF.