mkuu wewe ndio mkuu wa jukwaa hili, hongera sana.!!!Karibu sana JF
Naona umeamua kujiita jina la kitoweo...angalia mkuu leo sikukuu watu wasije kukung'ang'ania
mkuu wewe ndio mkuu wa jukwaa hili, hongera sana.!!!
Shukrani mkuu ila wapo mabest wengine hapa kama Globu, Ulimakafu, Katavi huwa tunapishana tu muda wa kuwa hapa mlangoni
Karibu sana JF
Naona umeamua kujiita jina la kitoweo...angalia mkuu leo sikukuu watu wasije kukung'ang'ania
Acha kumtisha mgeni wewe
Nipokeeni wandugu nimelipenda jamvi
Swadakta kabisa mkuu, sijui kwa upande wako?