Chukua hii itakusaidia
Nmejaribu kuchanganua kwa mara pili nimekuja na hii kumbuka kipindi cha Nabii NUHU kuna Urain bow ulitokea, Nabii Nuhu akaamrishwa na mungu achukue kila kiumbe jike na dume xaxa kama ni hivyo Kuku ndio alikuwa wa kwanza kuja hapa dunia ko kazi yake ikawa ni kutaga mayai na kutotoa
Tumalize kwa hii kuwa KUKU ni mkubwa kuliko YAI
Ila kwa sasa kutokana na teknologia kukua kasi ukifanya hata kuua kuku wote na Tubaki na mayai tu Kuku anapatikana kama kawaida ko hata Yai pia linaweza kuwa kubwa kuliko kuku
Sijui unanielewa