baba-mwajuma
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 4,178
- 7,591
Tumezoea kuku kama kitoweo au chanzo cha mayai, na ni nadra kumkuta kuku mwenye kipaji labda mbwa au paka.
Cha kushangaza kwenye mashindano ya got talent kuku mmoja ameletwa anapiga kinanda, kuku huyu ambae amesoma alama za nyakati ili asichinjwe na kuliwa anaitwa jokgu
Muangalie hapa
Cha kushangaza zaidi sasa, kuna wahenga humu jukwaani wanashindwa kipaji na huyu kuku maana hata kinanda wengine hawajui kipo vipi.
Na tabia ya kuku anapodoa chakula anatikisa kidogo kichwa, na huyo anafanya hivyo hivyo.
Ni america got talent, british imeisha mwaka huuniliiona hii kwenye british got talent, hata simon mwenye msimamo kama salama wa bongo star search kwa kutoa credit, alibaki mdomo wazi
samahani nimechanganya madawaNi america got talent, british imeisha mwaka huu
hapana mkuu, walianza kwanza kuonyesha tangu kikiwa kidogo kikifundishwa mpaka kuja kuwa hivyo, tangu kikiwa kifaranga, itafute hiyo clip kwa youtube ndio utaona uhalisia, kuna ile ya mbwa anaimba ile ndio iliniacha hoiIli kufahamu kama huyo kuku ni talented apewe kinanda kingine tofauti na hicho ambacho ni manual na rangi tofauti. Kwa sababu kuna uwezekano mkubwa hizo keys ni transparent na kinanda ni computerised, hivyo zinaonesha chakula anachopenda kuku, hivyo chakula kinaonekana kwenye hizo keys kwa muda tofauti - in microseconds - hivyo huyo kuku kwa 'ujinga' wake anadhani ni chakula cha kweli na kudonoa. Na tabia ya kuku anapodoa chakula anatikisa kidogo kichwa, na huyo anafanya hivyo hivyo.
Hata kama ni hivyo, kuku kwenye umati huo na alikua kashikiliwa na mwenye nae anamsogeza?? Khaa hivi hujui tabia za kuku za kuona aibu?? Huyu ni kuku meingine dunianiIli kufahamu kama huyo kuku ni talented apewe kinanda kingine tofauti na hicho ambacho ni manual na rangi tofauti. Kwa sababu kuna uwezekano mkubwa hizo keys ni transparent na kinanda ni computerised, hivyo zinaonesha chakula anachopenda kuku, hivyo chakula kinaonekana kwenye hizo keys kwa muda tofauti - in microseconds - hivyo huyo kuku kwa 'ujinga' wake anadhani ni chakula cha kweli na kudonoa. Na tabia ya kuku anapodoa chakula anatikisa kidogo kichwa, na huyo anafanya hivyo hivyo.
Aisee umewaza mbali sanaIli kufahamu kama huyo kuku ni talented apewe kinanda kingine tofauti na hicho ambacho ni manual na rangi tofauti. Kwa sababu kuna uwezekano mkubwa hizo keys ni transparent na kinanda ni computerised, hivyo zinaonesha chakula anachopenda kuku, hivyo chakula kinaonekana kwenye hizo keys kwa muda tofauti - in microseconds - hivyo huyo kuku kwa 'ujinga' wake anadhani ni chakula cha kweli na kudonoa. Na tabia ya kuku anapodoa chakula anatikisa kidogo kichwa, na huyo anafanya hivyo hivyo.
Naunga mkono hojaIli kufahamu kama huyo kuku ni talented apewe kinanda kingine tofauti na hicho ambacho ni manual na rangi tofauti. Kwa sababu kuna uwezekano mkubwa hizo keys ni transparent na kinanda ni computerised, hivyo zinaonesha chakula anachopenda kuku, hivyo chakula kinaonekana kwenye hizo keys kwa muda tofauti - in microseconds - hivyo huyo kuku kwa 'ujinga' wake anadhani ni chakula cha kweli na kudonoa. Na tabia ya kuku anapodoa chakula anatikisa kidogo kichwa, na huyo anafanya hivyo hivyo.