flintsky JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 654 Reaction score 746 Nov 23, 2016 #1 kuna mshkaji kanichukua hapa tukale kuku ndizi! cha ajabu tukaenda bar bado nashangaa akamwambia waita alete kuku ndizi!analeta banana(pombe)na kiroba jogoo! akaagizia na chips kavu huku anashushia na kiroba jogoo
kuna mshkaji kanichukua hapa tukale kuku ndizi! cha ajabu tukaenda bar bado nashangaa akamwambia waita alete kuku ndizi!analeta banana(pombe)na kiroba jogoo! akaagizia na chips kavu huku anashushia na kiroba jogoo
Aishah2016 JF-Expert Member Joined Jun 11, 2016 Posts 2,225 Reaction score 2,482 Nov 24, 2016 #2 Hahaha
Blank page JF-Expert Member Joined May 28, 2015 Posts 5,487 Reaction score 4,817 Nov 24, 2016 #3 hahaha...poleee san mkuu.dah hii kali san