Habari ndugu wajasiriamali kupitia ufugaji wa kuku.
Nipo hapa kutaka kupata ufahamu zaidi juu ya kuku wa mayai kwa hoja zifuatazo:-
1.Nifuge kuku wapi kati ya kuku wa weusi wa Malawi au kuku pure wa kienyeji kwa ajili ya mayai?
2.Je,kuku pure wa kienyeji wakilishwa chakula bora wanaweza kutaga daily pasipo kukoma kama asili yao ilivyo?
MFANO.
Una kuku 200,je,itawezekana kila siku wakataga kuku wote na ukapata mayai 200 na rate ya utagaji huo ukawa continuously hadi umri wa kuzeeka kwao?
Nitashukuru kwa mawazo yenu,kwani mambo mengine nimeshafanya kama kutengeneza banda la kuku.