Kuku supermarket

Kuku supermarket

Philipo D. Ruzige

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2015
Posts
9,428
Reaction score
27,096
Mdada alienda super-market kununua
kuku, bahati mbaya kwenye frij
kulikuwa na kuku mmoja tu, muuzaji
akamtoa akamuweka kwenye
mzani, akaonekana ana kilo moja na robo.
Mdada akamuuliza
muuzaji,’Huna mkubwa zaidi?’ Muuzaji
akamchukua yule kuku na
kujifanya kamrudisha kwenye friji, halafu
akamtoa tena kwenye friji na
kumrudisha kwenye mzani, safari hii
akagandamiza mzani kwa gumba,
kuku akaonekana ana kilo mbili. Mdada
akasema ‘Duh afadhali huyu
mkubwa kidogo, naomba unifungie
nawachukua wote wawili’


[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Hapo ndipo utagundua kwa nini UKAWA waliyaita Yale maandamano jina la UKUTA !
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kunamda inakubidi uitwe mkorofi sio mwizi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kiukweli inachekesha
 
Back
Top Bottom