Kuku wa chotara 130 wanauzwa wako Mwanza

Kuku wa chotara 130 wanauzwa wako Mwanza

alphonce.NET

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2013
Posts
1,703
Reaction score
6,046
Nauza kuku chotara wako 130.
Wana umri wa miezi mnne, wanaelekea muda wa kuanza kutaga.

Kuku wako mwanza na ninawauza haraka kwa sababu nahitaji kuhama

Wanafaa kwa kufuga au kula, bei sh 15,000 kila mmoja

Simu/SMS/Whatsapp 0767659145
Email: alphonce@alphonce.net
 
Majike wote

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Nauza kuku chotara wako 130.
Wana umri wa miezi mnne, wanaelekea muda wa kuanza kutaga.

Kuku wako mwanza na ninawauza haraka kwa sababu nahitaji kuhama

Wanafaa kwa kufuga au kula, bei sh 15,000 kila mmoja

Simu/SMS/Whatsapp 0767659145
Email: alphonce@alphonce.net

Ni chotara wa Aina gani mkuu na unapatikana mwanza sehemu gani?
 
Ni chotara wa Aina gani mkuu na unapatikana mwanza sehemu gani?

kenbro wa kenya. hata hivyo tangazo hili ni la zamani. nilionao sasa ni vifaranga wa wiki mbili (Tsh 2000) na wa mwezi mmoja (Tsh 5000)

Niko busweru mwanza.
0767659145, 0787659145
 
Back
Top Bottom