Nauza kuku chotara wako 130.
Wana umri wa miezi mnne, wanaelekea muda wa kuanza kutaga.
Kuku wako mwanza na ninawauza haraka kwa sababu nahitaji kuhama
Wanafaa kwa kufuga au kula, bei sh 15,000 kila mmoja
Simu/SMS/Whatsapp 0767659145
Email:
alphonce@alphonce.net