Kuku wa Ilala (Tanzania) wameshajipeleka wenyewe Omdurman (Sudan) kuchinjwa Jumapili

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Na ukitaka 'Kitoweo' chako chochote kichinjwe vyema jitahidi sana umtafute Muislamu halafu awe ni Mwarabu wa 'Kisudani' utafurahia show yake ya uchinjaji ambayo mara nyingi huianzia Saa 3 kamili usiku baada ya kumaliza kuswali saa 2 kamili usiku.
 
Kwa heshima na taadhima kwako, naahidi kurejea kwenye Uzi huu tarehe 17.10.2022 saa 05:01 nikikuomba kauli thabiti kuhusu kilichotokea Sudan. Mimi siku zote najinasibisha kuwa sikubahatika mapenzi ya vilabu Pacha vya Kariakoo, lakini Kwa hili naomba upokee wito wangu Muda niliotaja utakapowadia.
 
Na usiporejea tarehe na muda uliotaja tutakutafuta tukurejeshe upatiwe maelezo ya kilichotokea. Hamna habari ya kuwa ulitazama mpira.
 
Pale popoma linapowasifia Waarabu wake "koko" wa Sudan.
 
Dah!! Maskini yanga hadi huruma!! soka lina ukatili! mtu anapeleka shingo yake mwenyewe huku akijua kabisa ameielekeza kibra!
 
Na usiporejea tarehe na muda uliotaja tutakutafuta tukurejeshe upatiwe maelezo ya kilichotokea. Hamna habari ya kuwa ulitazama mpira.
Hakutakuwa na haja ya kunikumbusha Mimi mfia nchi. Nitakuja mwenyewe, Kwa hiari yangu maana ninajua kitatokea nini.
 
Back
Top Bottom