GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Na usiporejea tarehe na muda uliotaja tutakutafuta tukurejeshe upatiwe maelezo ya kilichotokea. Hamna habari ya kuwa ulitazama mpira.Kwa heshima na taadhima kwako, naahidi kurejea kwenye Uzi huu tarehe 17.10.2022 saa 05:01 nikikuomba kauli thabiti kuhusu kilichotokea Sudan. Mimi siku zote najinasibisha kuwa sikubahatika mapenzi ya vilabu Pacha vya Kariakoo, lakini Kwa hili naomba upokee wito wangu Muda niliotaja utakapowadia.
Hakutakuwa na haja ya kunikumbusha Mimi mfia nchi. Nitakuja mwenyewe, Kwa hiari yangu maana ninajua kitatokea nini.Na usiporejea tarehe na muda uliotaja tutakutafuta tukurejeshe upatiwe maelezo ya kilichotokea. Hamna habari ya kuwa ulitazama mpira.