Kuku wa jirani

Kuku wa jirani

Philipo D. Ruzige

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2015
Posts
9,428
Reaction score
27,096
Hapa kitaan kwangu kulika na kijikuku kisumbufu sana (kwa sasa kinawikia kwenye sufuria)

Kilikua kinanitesa sana, usiweke kitu ukajisahau kidogo tu basi ujue kasepa nacho.

Bahati mbaya ni kakuku ka jirani yangu, nilimwambia mwenyewe akawa awafungie kuku wake ila haelewi,

Sasa leo nimekapa bonge la kitanzi, kameingia nyavuni, kapo jikon nakavutia mida tu nikashushie na ugali.

Nafidia hasara ambayo kalisababisha.

Asante jiran kw Kutufugia ..
#mutual_relationship
51a4c29605051b56405c05002ebe00db.jpg
79f104af28cb93cbd63bb934ecf54da8.jpg
 
hahahaaa jua kwamba mla huliwa!!!
Haka kakuku kalikua kasumbufu sana aisee, afadhal nikarestishe in stomach ili nikae kwa amani aisee..

Kwa hasara ambayo kamesababisha ni kubwa kuliko hata thaman yake[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Umewai ckia ule mdundo wa tbc kabla ya taarfa ya habar unalilia tumbon mwako be ready?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwa mateso ha huyu kuku, nadhan hata uchawi hauwez kunishika...
 
Sasa leo ndiyo utanitambua ya kuwa mimi ni mfipa orijino kumbe nahangaika kutafuta kuku wangu kumbe umemchinja halafu unakuja kuweka promo huku lazima nikupige kitu kitanda cha sokwe
 
Ujirani ni kuvumiliana na kusameheana, hiyo actionuliyoichukua sio solution,leo hii umechinja Kuku wa jirani (japo inaonekana hii ni stori ya kutunga tu) vipi kama ikitokea wanao wakaenda kuharibu kitu kwa huyo jirani yako?
Hii stori ya kutunga hata kidogo. Kiukweli sio poa, ila huyu kuku alizid usumbufu. Sina mpango wa kuendelea na hili jambo ila kwa huyu mmoja Anisamehe tu
 
JF inafanya tutabasam aysee. Hahhahaaaaa Mkuu jiandae kuskia jogoo anawika tumboni.
Kwa Huyu kuku mbona ilikua ni haki yake kumtafuna aisee, kalikua kasumbufu sana. Kuku kama wa kutumwa vile. UkiJsahau tu kapita na msosi
 
Ngoja usikie jirani anauza mbuzi kesi ya kuku. Ndo utajua kwa nini Ubungo Kuna External wakati Manzese hata Flash hamna
 
Back
Top Bottom