Philipo D. Ruzige
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 9,428
- 27,096
Haka kakuku kalikua kasumbufu sana aisee, afadhal nikarestishe in stomach ili nikae kwa amani aisee..hahahaaa jua kwamba mla huliwa!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwa mateso ha huyu kuku, nadhan hata uchawi hauwez kunishika...Umewai ckia ule mdundo wa tbc kabla ya taarfa ya habar unalilia tumbon mwako be ready?
Aaah usawa huu mpaka utumbo tunakula, hakubaki kitu,Naona ule usemi usemao hakitupwi kitu hapa
Hii stori ya kutunga hata kidogo. Kiukweli sio poa, ila huyu kuku alizid usumbufu. Sina mpango wa kuendelea na hili jambo ila kwa huyu mmoja Anisamehe tuUjirani ni kuvumiliana na kusameheana, hiyo actionuliyoichukua sio solution,leo hii umechinja Kuku wa jirani (japo inaonekana hii ni stori ya kutunga tu) vipi kama ikitokea wanao wakaenda kuharibu kitu kwa huyo jirani yako?
Kwa Huyu kuku mbona ilikua ni haki yake kumtafuna aisee, kalikua kasumbufu sana. Kuku kama wa kutumwa vile. UkiJsahau tu kapita na msosiJF inafanya tutabasam aysee. Hahhahaaaaa Mkuu jiandae kuskia jogoo anawika tumboni.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naona umeamua kututaarifu kua leo unakula Kukuππππ
Joking.
Kwa enzi hizi kaka. Kasor manyoya tu ndo hatulijamaa unapiga mpakanutumbo na map***