Kuku wa jirani

Sasa leo ndiyo utanitambua ya kuwa mimi ni mfipa orijino kumbe nahangaika kutafuta kuku wangu kumbe umemchinja halafu unakuja kuweka promo huku lazima nikupige kitu kitanda cha sokwe
[emoji23][emoji23][emoji23]mwenye kuku ni mtu wa mbeya...
 
Kwan hata manyoya yenyewe atayaona basi, kuku kakamatiwa ndani, kachinjwa ndani., kanyonyolewa ndani., na manyoya naenda kuyatupa mtoni...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mkuu wewe ni hatarii
 
Wewe ulikuwa mwizi,na sasa ni nganga wa kienyeji,maisha yako yanaonyeshwa na mkeka wako pamoja sufuria kuukuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…