BusinessWoman
Member
- Sep 3, 2015
- 5
- 3
Mbezi beach wapi?simu?
ukichinja kabisa firigisi unaweka au unachukua?
uzito wa kuku ni kilo ngapi? wanakaa siku ngapi kwenye friji?
Samahani The Boss kwa kukawia kukujibu, busy weekend. Anyway, nipo Mbezi beach Jogoo, simu nafanyia kazi kupata ambayo itakuwa ya kiofisi tu ikiwa tayari utapata. Kama wateja wakitaka wawe wanapata na firigis/maini basi itakuwa hivyo, nilikuwa sijaamua bado maana ambao wameshanunua hawakujali.
Wanaanzia kg 1.2 na kuendelea. Alafu mpaka sasa hivi hawajawahi kukaa zaidi ya siku tatu. Nijulishe kama kuna kitu kingine ungependa kujua au kama uko interested.