Miguel Alvarez
JF-Expert Member
- May 28, 2019
- 2,856
- 5,430
Nashukuru mkuu na je baada kumaliza kutaga hayo 10 je uanza kulalia kwa muda huo au uchukua muda was siku kadhaaAtakapofikisha Mayai 10
Akishatimiza Mayai 10 anaweza akaongeza kidogo japo matatu huku analaliaNashukuru mkuu na je baada kumaliza kutaga hayo 10 je uanza kulalia kwa muda huo au uchukua muda was siku kadhaa
Isije kua huyo Kuku ni Chotara hua wanagoma kulaliaMaana nachangamoto ya kuku wangu ametaga mayai Kama 15 lakin ni siku kadhaa sioni kuanza kulalia je hi iko sawa
Na je Kama ni chotara natakiwa nifanyeje ili alalieIsije kua huyo Kuku ni Chotara hua wanagoma kulalia
Chotara wasumbufu sana km ni Chotara imekula kwako tafuta IncubatorNa je Kama ni chotara natakiwa nifanyeje ili alalie
Chotara wasumbufu sana km ni Chotara imekula kwako tafuta Incubator
Inategemea na aina ya kuku, wapo wanaotaga hadi mayai 22 ila wengi ni mayai 13. Kawaida akimaliza kutaga analalia moja kwa moja tena anaweza kulalia then yai la mwisho akalitaga akiwa ameshaanza kulalia.Maana nachangamoto ya kuku wangu ametaga mayai Kama 15 lakin ni siku kadhaa sioni kuanza kulalia je hi iko sawa
Kuanzia siku ya 10 hadi 15Mkuu usinichoke leave maswali mingi kwani kwa kawaida kuku wako baada ya kutaga uchukua siku ngapi kuanza kulalia
POA mkuu nashukuru sanaKuanzia siku ya 10 hadi 15
Mkuu kuku wangu Kuna mahali alitagia mazingira hayakuwa mazuri nikayaamisha lkn baada ya siku moja akataga mahali nilipomwamishia je hi inaweza kuwa sababu ya kutokulalia na je nifanyeje ili aweze kulaliaInategemea na aina ya kuku, wapo wanaotaga hadi mayai 22 ila wengi ni mayai 13. Kawaida akimaliza kutaga analalia moja kwa moja tena anaweza kulalia then yai la mwisho akalitaga akiwa ameshaanza kulalia...
Asante sama mkuuSahihi kabisa kuku chotara huwa hawalalii mayai na ikitokea akiatamia .....baada ya muda flan atatoka kabla ya kutotoa...
Huyo atakuwa chotara, hao huwa hawalalii mayaiMaana nachangamoto ya kuku wangu ametaga mayai Kama 15 lakin ni siku kadhaa sioni kuanza kulalia je hi iko sawa
Asante mkuu na je wanaweza kulea watoto ukiwatotolosheaHuyo atakuwa chotara, hao huwa hawalalii mayai
inabidi uyapeleke kwenye mashine ya kutotoleshea.hao huwa wanataga tuuu
Hao kuku wanpenda ubosi sana mkuu,ni sawa na mabinti wa masaki.Hawana time ya kulea ,wao ni kutaga tuu full stop.ukiyatotolesha vifaranga inabidi uvilee mwenyewe.Ila wanataga sana.mimi niliwahi kubadilisha.Asante mkuu na je wanaweza kulea watoto ukiwatotoloshea
Mkuu unawezaje kumtambua kuku chotara na sifa zake ni zip?Hao kuku wanpenda ubosi sana mkuu,ni sawa na mabinti wa masaki.Hawana time ya kulea ,wao ni kutaga tuu full stop.ukiyatotolesha vifaranga inabidi uvilee mwenyewe.Ila wanataga sana.mimi niliwahi kubadilisha....