Kuku wa kienyeji bei 15,000/=

Kuku wa kienyeji bei 15,000/=

mkuu hata kama hujasomea biashara ila kuna mambo muhimu ya kujua pindi unapotangaza biashara yako......tuambie kuku wanapatikana wapi,jinsia gan kwa hyo bei pamoja na umri wao,ikiwezekana hata picha sio mbaya
 
alafu tambua bei ya elf 15 ndio kawaida mitaan sasa mimi kweli kwa nn nifunge safari kuja fata uyo wako wakat naweza mpata mtaan kwa same price? unless uweke more info kama ukubwa, delivery yake, wa type gani nk
 
Mkuu hebu tupe majibu kuhusu hao kuku manake umetuacha na maswali mengi.
 
Back
Top Bottom