mkuu hata kama hujasomea biashara ila kuna mambo muhimu ya kujua pindi unapotangaza biashara yako......tuambie kuku wanapatikana wapi,jinsia gan kwa hyo bei pamoja na umri wao,ikiwezekana hata picha sio mbaya
alafu tambua bei ya elf 15 ndio kawaida mitaan sasa mimi kweli kwa nn nifunge safari kuja fata uyo wako wakat naweza mpata mtaan kwa same price? unless uweke more info kama ukubwa, delivery yake, wa type gani nk