Kuku wa kienyeji/chotara dodoma

gyration

Member
Joined
Dec 19, 2014
Posts
84
Reaction score
26
Kwa wakazi wa Dodoma tunao kuku wa khliwa Xmas hii 2014. Bei ni nzuri kwa kuwa tunafuga wenyewe hakuna mtu wa kati/midddle man. Piga 0656345348. Pia tunauza vifaranga wa umri mbalimbali na tunapokea mayai kwa ajili ya kutotolesha, tuna incubators zilizo bora. Karibuni!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…