GREGO JF-Expert Member Joined Apr 3, 2014 Posts 4,281 Reaction score 2,940 Nov 30, 2018 #1 Swalamaaaa Wakuu nataka nianze kufuga kwahiyo kwa mfugaji uliyeko Dodoma mwenye mbegu nzuri ya kuku wa kienyeji, nahitaji kwa ajili ya kufuga nasisitiza mbegu iwe nzuri. NiPM kama unazo tuyajenge.
Swalamaaaa Wakuu nataka nianze kufuga kwahiyo kwa mfugaji uliyeko Dodoma mwenye mbegu nzuri ya kuku wa kienyeji, nahitaji kwa ajili ya kufuga nasisitiza mbegu iwe nzuri. NiPM kama unazo tuyajenge.