muhandu JF-Expert Member Joined Sep 25, 2011 Posts 311 Reaction score 83 Apr 30, 2013 #1 kwa wanaohitaji kuku wa kienyeji na mayai yake kwa wingi yanapatikana nipo kanda ya ziwa.tuwasiliane nikuletee mpaka ulipo.
kwa wanaohitaji kuku wa kienyeji na mayai yake kwa wingi yanapatikana nipo kanda ya ziwa.tuwasiliane nikuletee mpaka ulipo.
CHASHA FARMING JF-Expert Member Joined Jun 4, 2011 Posts 7,872 Reaction score 9,263 Apr 30, 2013 #2 Mkuu kwa hiyo mtu akiwa mtwara utampelekea? Na vipi bei itakuwa vipi?
muhandu JF-Expert Member Joined Sep 25, 2011 Posts 311 Reaction score 83 May 1, 2013 Thread starter #3 ndo maana nikaweka kanda ya ziwa.asante kwa swali lakini.