Kuku wa kienyeji na mayai yake yanapatikana

muhandu

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2011
Posts
311
Reaction score
83
kwa wanaohitaji kuku wa kienyeji na mayai yake kwa wingi yanapatikana nipo kanda ya ziwa.tuwasiliane nikuletee mpaka ulipo.
 
Mkuu kwa hiyo mtu akiwa mtwara utampelekea? Na vipi bei itakuwa vipi?
 
ndo maana nikaweka kanda ya ziwa.asante kwa swali lakini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…