Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nimejifunza mengi kuhusu ufugaji wa kuku wa kienyeji humu JF na nimefanikiwa kujenga banda bora na kuanza ufugaji huo.MUNGU AWABARIKI WANA JF WALIONIFANYA KWA NAMNA MOJA AMA NYINGINE KUFIKIA HATUA HII.
Hongera kwa moyo wa kuwashukuru wataalamu humu JF. Ila funguka zaidi ili tujue hiyo hatua uliyofikia ni hatua gani!? Kama alivyosema mwana JF mmoja sema ili na wengine tuwe inspired mkuu. Tunasubiri kujua. Asante sana.nimejifunza mengi kuhusu ufugaji wa kuku wa kienyeji humu JF na nimefanikiwa kujenga banda bora na kuanza ufugaji huo.MUNGU AWABARIKI WANA JF WALIONIFANYA KWA NAMNA MOJA AMA NYINGINE KUFIKIA HATUA HII.