Uncertainty
Member
- Jan 23, 2012
- 70
- 27
ahsanteni sana wanajf mimi ninahitaji kuingia katika biashara hii ya ufugaji wa kuku hasa hawa wa kienyeji nimekamilisha kila litu ikiwemo kutengeneza banda na utaalam wa kisasa ila kwa bahati sijapata pa kununua hao kuku wa kienyeji wenye uhakika kwa hapa DAR ES SALAAM.
naomba kwa yeyote wenye kujua wapi wanapatikana kuku hawa ani PM tuweze kuwasiliana au anipigigie 0715739027
NATANGULIZA SHUKRANI ZANGU ZA DHATI KWENU WOTE.😛oa
naomba kwa yeyote wenye kujua wapi wanapatikana kuku hawa ani PM tuweze kuwasiliana au anipigigie 0715739027
NATANGULIZA SHUKRANI ZANGU ZA DHATI KWENU WOTE.😛oa