bahati30 JF-Expert Member Joined Oct 15, 2012 Posts 1,625 Reaction score 883 May 29, 2015 #1 Kuku wa kienyeji wanapatikana kwa bei ya Shilingi 18,000-20,000. Wapo pia kwale wanaotaga, bei ni Sh.10,000. Kwa atakaehitaji anitafute kwa namba hii: 0753249862. Napatikana Dar. KARIBUNI SANA
Kuku wa kienyeji wanapatikana kwa bei ya Shilingi 18,000-20,000. Wapo pia kwale wanaotaga, bei ni Sh.10,000. Kwa atakaehitaji anitafute kwa namba hii: 0753249862. Napatikana Dar. KARIBUNI SANA
Apologise lady JF-Expert Member Joined Sep 16, 2013 Posts 5,979 Reaction score 3,105 May 29, 2015 #2 Mimi nataka tray la mayai ya kyenyeji, naweza pata?????????????
Kukudume2013 JF-Expert Member Joined Jan 8, 2013 Posts 1,659 Reaction score 734 May 29, 2015 #3 Mkuu mm nataka kuchi ni kiasi gani kama unalo ni pm