Kuku wa Kienyeji wanauzwa

Kuku wa Kienyeji wanauzwa

GIRITA

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2016
Posts
4,432
Reaction score
5,864
Habari wafanyabiashara wa humu jukwaani.

Moja kwa moja kwenye mada.

Wanauzwa kuku wa Kienyeji wapo takriban 30, wenye afya njema kwabisa Ni wakubwa,wenye uzito na ujazo,utakaokuvutia wewe mnunuaji.

Kuku hao wote wanauzwa kwa kila mmoja shilingi elfu kumi na sita tu...16,000/-

Kuku Hawa Ni mchanganyiko wa majike na madume(jogoo)...Tunawauza wote kwa pamoja kwani tunahitaji pesa kwa ajili ya kukidhi nahitaji mengine.

Kwa watu wa hotel,wachoma chips,watu wa tender za chakula katika shughuli mbali mbali mnakaribishwa Sana.🙏🙏🙏🙏

Tunapatikana Mwanza mjini.
Nawasiliano: 0768195006.
 
Karibu Sana Ndugu zangu.
 
Back
Top Bottom