Kuku wa kienyeji wapo hapa

Joined
Sep 11, 2014
Posts
47
Reaction score
7
jamani natafuta watu wenye shida na kuku wa kienyeji kutoka nauza kwa bei nafuu sana kuku,jogoo mmoja ni shilingi 12000 na tetea shilingi 10000,nipo mbeya ni kuku kutoka malawi.napokea order kuanzia kuku 100 nakuendelea,karibu sana-namba zetu ni 0764786277.
 
Vifaranga bei gani/
 
Duh! Mbeya to Arusha........Mi naona kama masafa mkuu!

Ngoja nifikirie nitarudi!
 
Kwa wale walioko A town naomba mjue ya kwamba kuanzia mwezi wa tatu nitakuwa na kuku wa kienyeji wa rika yote

Mtanipata hapa
0717 71 44 99

Kwa atakayehitaji!

Order nachukuwa!
 
Alotoa Uzi kaingia mitini tena? Upuuz mtupu
 
Utendei khaki kulimit 100 no kumbuka hatawewe ukuanza na mia
Saidia nawachini ubarikiwe
 
nyumba inauzwa ipo kisemvule mkoa pwani ipo barabarani karibu na rino cement vyumba 5 self paking nzuri bei 55 milion masiliano 0754057258
 
Utakuwa na ile species ya israel?

hapana mkuu,sina ile species ile ya israel,but tunaweza tukawasiliana kwa namba zangu zile ili tufanye business hata kama umepata soko,unaweza uka middle man au sio,kuku kwetu huwaishi,coz kwa siku zaid ya kuku 20_30 wanazaliwa.welcome ndugu
 
Hongera ila pia ukitupa na uzoefu wako ulivyoweza kuwazalisha kwa kiwamgo hicho,wapo watakao nufaika na huo uzoefu wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…