imanmull, Mkuu....
Unapo weka tangazo la biashara ama bidhaa, nivyema ukaweka na bei elekezi pamoja na location/wapi unapatikana.
Achana na mambo ya kuuza bidhaa kwa bei za hisia, na kudhani kwamba kila mmoja anafahamu unapo patikana.
Na, usidanganyike kwamba kuweka namba za mawasiliano basi ndio inatosha kufanya tangazo lako lionekane limekamilika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi si ndo bei za mtaani. Si bora kununua mtaani unaona na si kuagiza unaletewa unakuta hana sifa. imanmull,
Sent using Jamii Forums mobile app
Wateja wa jumla wanakaribishwa - bei ni sh 15000tsh boss
Sent from my iPhone using JamiiForums