Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari za Leo wadau..
Nafikiria kuanza kuuza kuku wa kienyeji, je kuna mtu anafahamu wapi naweza kununua kuku wa kienyeji kwa jumla kwa bei ya chini ili niweze kuja kuuza rejareja dar?
habari za leo wadau..
Nafikiria kuanza kuuza kuku wa kienyeji, je kuna mtu anafahamu wapi naweza kununua kuku wa kienyeji kwa jumla kwa bei ya chini ili niweze kuja kuuza rejareja dar?
Sumbawanga hadi Dar??singida kwa bei nafuu,ila kama unataka faida kubwa bora uwafuate mkoa wa rukwa jogoo kubwa unapata kwa chini ya sh.5000 ktk kijiji cha tamasenga x-wanga..
sumbawanga hadi dar??
Vipi wafugaji wa dar nahitaji kununua kabla hawajafika sokoni, wakiwa bado bandani
biashara imani