CHE GUEVARA-II
JF-Expert Member
- Jun 17, 2010
- 571
- 156
Wadau, habari zenu?
Nina eneo dogo mjini (nyumbani kwangu), kuna eneo lenye ukubwa wa kama 25mx10m.
Nahitaji nifuge kuku wa kienyeji.
Nitakuwa natumia incubator
Nitakuwa nawalisha hydroponics fodder (kama Titus Mwema wa Kenya anavyofanya - check youtube).
Naweza kupata mtaalamu wa ku-design mabanda katika hilo eneo la 25mx10m ili nifuge hata kuku 5,000?