CHE GUEVARA-II
JF-Expert Member
- Jun 17, 2010
- 571
- 156
Mkuu kwnye hil hil jukwaa la ujasiriamali kuna uzi ulshawah kueleza mwanzo mwsho ufugaj wa kuku wa kienjej
kulea vifaranga
chakula chao mpaka watakpo kuwa
jinsi ya kuwapa chanjo na dawa
so ww jitahdi kuutafta huu uzi utakujbu maswal yote unanayotaka kuyafahamu na mengneo ambyo hukuwah kuyasikia popote.
kuhsu ujenzi wa bada ukijenga la matofali itakuwa poa zaid ila hata la mbao kwa mfumo wa kama gorofa sio mbaya
Anza na kuku wachache taratbu utaanza kujua magmjwa na matibab yake then ndio uanze kuwaongeza kidogokidogo mpaka upate idadi unayotaka
mtetea lazima wawe weng kuliko majogoo ratio ni 12:3
naktakia mafanikio mkuu.
Wadau, habari zenu?
Nina eneo dogo mjini (nyumbani kwangu), kuna eneo lenye ukubwa wa kama 25mx10m.
Nahitaji nifuge kuku wa kienyeji.
Nitakuwa natumia incubator
Nitakuwa nawalisha hydroponics fodder (kama Titus Mwema wa Kenya anavyofanya - check youtube).
Naweza kupata mtaalamu wa ku-design mabanda katika hilo eneo la 25mx10m ili nifuge hata kuku 5,000?
Mama Joe unaweza kutuwekea link ya huu uzi wa Amani. Thax
Unaitwa... ni kwa wafugaji
wanaoanza kufuga kuku....google Amani Ng'oma ni uzi mrefu wa siku
nyingi. Kuhusu cages nilizitumia Ruvi Jkt. Mwaka juzi maonyesho sabasaba
walileta lakini ni kwa kuku wa mayai maana inamchukua kuku mmoja na
hawapandani. Kwa hawa wa kienyeji ni kufanya ubunifu wewe mwenyewe upate
ghorofa ili wakae double juu na chini ingawa utakuwa na changamoto
kuwafikia na risk ugonjwa ukiingia.... Wengine wachangie kwa
uzoefu