Kuku wa kienyeji

Shayla

Senior Member
Joined
Mar 25, 2014
Posts
193
Reaction score
129
Wadau nauza kuku wa kienyeji jumla na rejareja, bei inaanzia elfu 12 mpaka 20. napatikana dar mbezi ya kimara. napatikana kwa no 0758065919
 
Super Market kuku wa 1.2kg wa kienyeji sh 12,000 kashanyonyolewa kila kitu we unaenda kumkaanga tu,jaribu kuangalia ushindani.
 
King Kong ....think wise ... Muunge mkono mjasiliamali mwenzetu .... kuku wake ni fresh si kama wa supermarket na utumbo unapata firigisi na maini pia na miguuu hata manyoya ya mapambo
 
Mimi nakushauri msimu huu wa sikukuu weka mabanda madogo maeneo ya masoko kama buguruni, tandika, mbagala, tegeta, manzese n.k kisha subiri wateja. Ila bei mwisho 16,000/=
 
Nashukuru mkuu kwa ushauri mzuri, nimeshaanza kuufanyia kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…