Kuku wa kisasa( nyama na mayai)

Kuku wa kisasa( nyama na mayai)

nyambogo

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2012
Posts
283
Reaction score
111
Wadau naomba elimu kuhusu hili. Kwa muda mrefu nimekuwa nikisikia kuwa Kuku wa kisasa (broilers na mayai ya Kuku hawa wa kisasa) si wazuri kwa afya. Ila Kiukweli mi bonge la mpenzi wa vyuku yaani nawapenda balaa. Je niko salama?
 
usipende wale kuku ndugu yangu, hawafai hata kidogo!
kwanza wanachomwa na kula contraceptives, nawe unakuwa na matiti makubwa na wowowo
pili wanakula antibiotics nyingi, wewe unapata resistance ya dawa haraka
tatu baadhi ya dawa zao wanazochomwa ni carcinogenic, wewe unapata cancer
nne hata ARVs wanapewa, wewe unaanza resistance; pamoja na mengine mengi!
waepuke sana, ukishindwa kula nyama tu; usifyonze mifupa
 
ARVs sidhani ila ile mikuku inakula balaa wanaweza maliza mfuko wa 50kgs kwa siku kwa kuku 300
 
Back
Top Bottom