usipende wale kuku ndugu yangu, hawafai hata kidogo!
kwanza wanachomwa na kula contraceptives, nawe unakuwa na matiti makubwa na wowowo
pili wanakula antibiotics nyingi, wewe unapata resistance ya dawa haraka
tatu baadhi ya dawa zao wanazochomwa ni carcinogenic, wewe unapata cancer
nne hata ARVs wanapewa, wewe unaanza resistance; pamoja na mengine mengi!
waepuke sana, ukishindwa kula nyama tu; usifyonze mifupa