Kuku wa kukaanga kwa mtindo wa Kijapani

Ila hiyo sosi ya soya ndio sijaelewa ni kitu gani.
 
Mahitaji kuliwa na watu 4 halafu mapaja mawili? Hamna aisee yote haya nakula mimi hao wengine waangalie utaratibu mwingine
😂😂😂😂Mkuu kubana bajeti paja 1 la kuku mkubwa unalikata katikati kisha kila 1 kipande kimoja.
 
Ila hiyo sosi ya soya ndio sijaelewa ni kitu gani.
Mkuu ni kiungo hutiwa kwenye nyama na michuzi kutokana na soya zipo sosi nyingi, ukitaka kuifahamu vizuri nenda duka la viungo ulizia mara nyingi hupatikana Zanzibar na huku bara basi maduka yale makubwa ya viungo.
 
Wao wanaita "karage".
 
Kuna video moja niliona ya mbongo anapika hao kuku aisee nilihisi kuchefuka, jinsi anavyochovya chovya wale kuku kwenye yale mauji, too dirty yaani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…