Kuku wa kuoka

Hahaha, karibu muke ya Asprin. Usisahau limbwata.
Hiyo ya hoho mwaniwani sijajaribu manake.nawanza ntajaza hoho ngapi? Usisahau ukinunua hoho uchanganue rangi itapendeza za njano, nyekundu na kijani. Lakini kuna stuffing inauzwa kwa packet supermarket japo huwa naona ina funny artificial taste ndo maana naweka crumbs.
 
Last edited by a moderator:

bata wa kubanika ni bomba sana .... samosa na ndizi za kubanika .... ukipata ndizi aina ya Jamaica au myenyele
 
kwikwikwi kweli kabisa....jaribu jaribu mbaya....karibu leo natengeneza dengu.....za kunde bites za kula keshoooooo

Teh teh teh!!! Asante mammy!!! Ngoja nimwite bibie Kongosho aje ajifunze kutoka kwako.
 
Last edited by a moderator:
Kwa mapishi haya, udenda unaanza kujaa mdomoni!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…