TEAM 666
JF-Expert Member
- Dec 7, 2017
- 4,399
- 8,594
Kiukweli hawa kuku wa mayai sioni uzur wake japo wasifika sana kwa utagaji lakini faida ya pesa na anaefuga kuku chotara ipo sawa.
Na hii kutokana na ghalama za chakula cha layers kuwa juu na ikiamua kutengeneza mwenye ndo balaa linakua kubwa cuz wanaweza kupunguza utagaji kutokana na chakula chako kinaweza kukosa kiwango sahihi
Lakn kuku chotara unawez kumuachia akajitafutia chakula mwenyewe na ukamtengenea mchanganyiko wa chakula ukampa kama ziada ili awe Strong
Apo apo kwenye utagaji hawatofautiani pia unaweza ukatotoresha ukawakuza wakiwa wakubwa unawauza nyama kwa bei nzur so kutokana na mazingira yetu bora tokamae na chotara wana Fiture nzur kama ukiwa smart anaweza kupiga pesa
Layes wakipunguz utagaji wanakula mataji matokeo yake inakuaje hapo? Nazani jibu ushelipata.
Ukifug kroila 500
Na mwenye layers 500 baada ya mwaka ww mweny kroila kweny profit utakua juu
Kuroila utauza mayai, utatotoresh vifaranga hat km soko la vifarang likawa sio zuri kutokn na mazingara uliyopo unaweza ukawakuza mwenyewe na ukawauz km nyama wakiwa wakubwa
Mfano ukichagua majogoo 500 ukiwakuza wakiwa wakubwa unawez kuuza kwa bei ya 20,000 msimu wa sikuu Apo ndani ya miezi 8 (in maximum)
20,000 mara 500 = 10,000,000 umekosa nn hapo?
Mweny layes ataishia kuuza mayai to.
So chamsing tuwe wabunifu na tuangalie mahitaji ya soko
Mfano mkoa wa Tanga huwa awazingatii sana ukubwa wa yai ila wanaangalia bei.
Kweny kuku hawa wakienyeji ndio wenye soko zaidi kuliko broilers na soko lake kubwa la kuku lipo kweny masoko
Mfano soko la Ngamiani mwenye vibanda mtani nk......
Kuroila is the best
Full stop