Kuku wa mayai

Baba Richard

Member
Joined
Apr 6, 2014
Posts
24
Reaction score
57
Habari, nina kuku wa mayai 230. Wana miezi minne na wiki moja. Nimekwama kwenye kuwalisha. Bei ni tsh. 10,000 tu kwa kuku mmoja.

Km upo interested nicheck kweny 0787329281

Au km yupo unaemfahamu anayetoa chakula cha kuku wa Layers kwa mkopo tafadhali nifahamishe. Natanguliza shukran

 
Mzee kuku umewabonda sana hawa usipoangalia watadumaa. Anyway hamna chakula cha mkopo braza labda ukaombe mkopo bank ununue chakula, pia fanyeni research kwanza kabla yakuanza mradi wowote kuepuka hasara.

Unapatikana wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…