Kuku wa mayai

Kuku wa mayai

ELVISLILY

Member
Joined
Jun 15, 2013
Posts
55
Reaction score
24
WanaJF habari za mishemishe.
Naomba nifahamu kuhusu ratiba ya chanjo ya kuku wa mayai tangu kuwa vifaranga hadi mwisho wao.
Ikiwezekana naomba nipate rafiki wa karibu wa kunishauri juu ya ufugaji huo.Plz through PM tuwacliane.
 
Back
Top Bottom