E ELVISLILY Member Joined Jun 15, 2013 Posts 55 Reaction score 24 Aug 10, 2013 #1 WanaJF habari za mishemishe. Naomba nifahamu kuhusu ratiba ya chanjo ya kuku wa mayai tangu kuwa vifaranga hadi mwisho wao. Ikiwezekana naomba nipate rafiki wa karibu wa kunishauri juu ya ufugaji huo.Plz through PM tuwacliane.
WanaJF habari za mishemishe. Naomba nifahamu kuhusu ratiba ya chanjo ya kuku wa mayai tangu kuwa vifaranga hadi mwisho wao. Ikiwezekana naomba nipate rafiki wa karibu wa kunishauri juu ya ufugaji huo.Plz through PM tuwacliane.