Kuku wa nyama (Broilers) hawana rangi nyingine tofauti na nyeupe?

Kuku wa nyama (Broilers) hawana rangi nyingine tofauti na nyeupe?

Wakulonga

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2012
Posts
762
Reaction score
771
Wakuu naomba kuuliza, hivi hawa kuku wa nyama au broilers hawanaga rangi nyingine zaidi ya weupe kama wa kienyeji? Maana kila nimuonaye ni mweupe au ndo wadhungu ndo wameshindwa kubuni rangi nyingine? Mwenye kujua na picha ingekuwa poa simaanishi kuku wa mayai
 
ndio maana wakaitwa kuku wa kizungu uliona wapi mzungu akawa mweusi
 
Back
Top Bottom