Wakuu naomba kuuliza, hivi hawa kuku wa nyama au broilers hawanaga rangi nyingine zaidi ya weupe kama wa kienyeji? Maana kila nimuonaye ni mweupe au ndo wadhungu ndo wameshindwa kubuni rangi nyingine? Mwenye kujua na picha ingekuwa poa simaanishi kuku wa mayai